Nenda kwa yaliyomo

akida

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]

Nomino

[hariri]

akida (wingi maakida)

  1. mtu anayesimamia wengine ili wafanye kazi vizuri
  2. mkubwa wa jeshi
  3. msaidizi rasmi wa mkuu wa wilaya katika zama za ukoloni

Tafsiri

[hariri]