akia

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

kitenzi[hariri]

akia tia chakula kinywani upesi na kukimeza bila kukitafuna

visawe[hariri]

  • bwakia
  • bugia
  • bwia