Nenda kwa yaliyomo

ajizi

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]

Nomino

[hariri]

ajizi uzito wa kufanya mambo

visawe

[hariri]
  • zohali
  • ugoigoi

Kivumishi

[hariri]

ajizi -enye ugoigoi; -enye uzembe