ajari

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

nomino[hariri]

ajari

  1. kazi ya ziada
  2. malipo kwa kazi ya ziada; malipo ya ovataimu

visawe[hariri]

  • ovataimu