ajabu

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

Nomino[hariri]

ajabu (wingi maajabu)

  1. kitu kisicho cha kawaida

visawe[hariri]

  • shani
  • kioja
  • kituko
  • muujiza
  • dungudungu
  • hekaya

Tafsiri[hariri]