ajabia

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

kitenzi[hariri]

ajabia pata mshtuko wa mawazo kwa kuona au kusikia jambo lisilo la kawaida au jambo ambalo halikutarajiwa

visawe[hariri]

  • staajabu
  • shangaa
  • pumbaa
  • bahashika
  • tunduwaa
  • vuvuwaa