Nenda kwa yaliyomo

aibisha

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]

kitenzi

[hariri]

aibisha fanyia mtu jambo la kumvunjia heshima

visawe

[hariri]
  • tehemu
  • hizi
  • tuzua
  • fedhehi
  • adhiri
  • dhili
  • dunisha
  • tweza
  • umbua