afu

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

Nomino[hariri]

afu

  1. aina ya ua litumikalo kutengeneza marashi
  2. omba msamaha, rehema au wokovu kutoka mwenyezi Mungu
  3. ponya
  4. okoa

Tafsiri[hariri]