Nenda kwa yaliyomo

adia

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]

Nomino (I- / Z -)

[hariri]

adia (adia)

  1. kitu au fedha anazopewa mtu kumpongeza kwa jambo alilofanya au kuonyesha upendo wake; hidaya, zawadi /Kar/


Tafsiri

[hariri]
Ingizo hili ni sehemu ya mradi wa Kuboresha Wikipedia na Wikamusi ya Kiswahili. Unaweza kusaidia kuihariri na kuongeza maana.