adhimisha

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru
Jump to navigation Jump to search

Kiswahili[hariri]

kitenzi[hariri]

adhimisha fanya sherehe ye kukumbuka tukio fulani kama vile siku ya kuzaliwa, siku ya kupata uhuru, na kadhalika