ada

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

Nomino[I-ZI][hariri]

  1. desturi ya jamii fulani
  2. mazoea ya kufanya jambo
  3. malipo yanayotolewa ili kupata huduma fulani kama vile elimu, uanachama, au tiba

Tafsiri[hariri]