achari

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru
Jump to navigation Jump to search

Kiswahili[hariri]

Nomino[hariri]

  1. vipande vya maembe yaliyotiwa pilipili na ndimu
  2. mchanganyiko wa kama vile pilipili, siki, ndimu, mbirimbiriau embe unaotumiwa kuongeza ladha chakula

Tafsiri[hariri]