Virutubishi

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

Nutrient_composition.png

Nomino[hariri]

Virutubishi (wingi : virutubisho)

Pronunciation[hariri]

  1. Chanzo cha lishe, kama vile chakula, ambacho kinaweza kubadilishwa na kiumbe ili kutoa nishati na kujenga tishu. Ili mwili wa binadamu ufanye kazi vizuri na uweze kujilinda na magonjwa unahitaji kupata virutubisho vyote sita ktk uwiano au kiasi sahihi, yaani lishe bora.

Tafsiri[hariri]