Vifaa Mbadala vya Kuingiza Data

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru
Jump to navigation Jump to search

Kiswahili[hariri]

nomino[hariri]

Vifaa Mbadala vya Kuingiza Data Vifaa mbadala vya kuingiza data humwezesha mtu mwenye ulemavu kutumia kompyuta kwa njia yoyote inayomfaa zaidi, kama vile kwa kutumia miguu, kichwa, jicho, mdomo, pumzi, kidole gumba au kidole kimoja.