Nenda kwa yaliyomo

Ushirikiano wa faida moja; Uhusiano kati ya viumbe viwili ambapo mmoja anafaidika na mwingine hapatwi na hasara wala faida yoyote.

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

=Kiswahili

[hariri]

Nomino

[hariri]

Ushirikiano wa faida moja; Uhusiano kati ya viumbe viwili ambapo mmoja anafaidika na mwingine hapatwi na hasara wala faida yoyote. ( SW )

  1. Kiumbe anayeishi na mwingine kwa namna ambayo ana faida bila kumdhuru au kumsaidia mwenyeji.

Tafsiri

[hariri]