Ugono Kisasi

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru
Jump to navigation Jump to search

Kiswahili[hariri]

nomino[hariri]

Ugono Kisasi Picha au video za mtu zinazoonyesha uchi au za kingono zilizochapishwa kwenye wavuti, mara nyingi huchapishwa na mtu aliyekuwa na uhusiano wa ngono naye hapo zamani, bila idhini ya mhusika na ili kumtesa au kumwaibisha.