Ughushi Mbizi Maudhui ya kubuniwa ambapo taswira ya mtu aliye katika picha au video ya asili hubadilishwa na kuwekwa taswira ya mtu mwingine, iliyoundwa kwa ufunzaji wa kina wa kompyuta na Akili Unde.