Ufichuzi Harabu

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

nomino[hariri]

Ufichuzi Harabu Habari ambayo ina msingi wa ukweli, inayotumiwa kudhuru mtu, shirika au nchi. Au, kitendo cha kufichua hadharani habari za kibinafsi zilizokuwa za faragha hapo awali kuhusu mtu au shirika; kwa kawaida hufanyika mtandaoni.