Ufiche

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru
Jump to navigation Jump to search

Kiswahili[hariri]

nomino[hariri]

Ufiche Hali ya kubaki bila kukujulikana na watu wengine walio wengi. Ufiche mtandaoni ni hali ya kuficha data yako ya kibinafsi, kama vile mahali ulipo, anwani yako ya IP, n.k. ili isionekane na tovuti unazotumia au watumiaji wengine.