Udhibiti wa kibaiolojia
Mandhari
Kiswahili
[hariri]Kielezi
[hariri]Udhibiti wa kibaiolojia
- Udhibiti wa kibaiolojia; Matumizi ya viumbe hai kudhibiti au kupunguza idadi ya wadudu au viumbe vingine wenye madhara kwa ekosistemu au mazao.
Tafsiri
[hariri]- Kiingereza : biological control (en)