Rasilimali iwezayo kutumika tena
Mandhari
Kiswahili
[hariri]Nomino
[hariri]Rasilimali iwezayo kutumika tena
Pronunciation
[hariri]
- Ni maliasili ambayo nafasi yake itachukuliwa na michakato ya asili katika mwendo wa kawaida au kasi ukilinganishwa na matumizi ya binadamu.
- Mionzi ya jua, mawimbi, upepo na umeme uliozalishwa kwa njia ya maji ni rasilimali za kudumu ambazo hazina na hatari ya ukosefu wa upatikanaji wa muda mrefu.
Tafsiri
[hariri]- Kifaransa: ressource renouvelable (fr)
- Kiingereza : renewable resource (en)