Ongezeko la Joto Duniani
Mandhari
Kiswahili
[hariri]Nomino
[hariri]Ongezeko la Joto Duniani
- Kuongezeka kwa wastani wa joto la dunia kutokana na uzalishaji wa gesi za chafu, hususani dioksidi ya kaboni.
Tafsiri
[hariri]- Kiingereza : global warming (en)