Nenda kwa yaliyomo

Mwanashanga

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]

nomino

[hariri]

{{Infl|sw|nomino|Wingi|mwanashanga

Mwanashanga
  1. Ni upepo ambao huvuma kutoka nchi kavu kuelekea baharini au eneo jingine la maji kama vile ziwa hasa wakati wa usiku.

Tafsiri

[hariri]