Mvua zakutawanyika

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

Kitenzi[hariri]

Mvua kubwa ya muda mfupi inayonyesha pahali fulani na kukosekana kwengine; mvua ambayo hunyesha katika baadhi ya sehemu za eneo fulani huku nyingine zikikosa kunyesha.

Tafsiri[hariri]

  • Kiingereza