Mgogoro wa hali ya hewa
Mandhari
Kiswahili
[hariri]Nomino
[hariri]Mgogoro wa hali ya hewa
- Mgogoro wa hali ya hewa ni neno linaloelezea ongezeko la joto duniani na mabadiliko ya hali ya hewa, na athari zake.
Neno hili limetumika kuelezea tishio la ongezeko la joto duniani, na kuhimiza upunguzaji mkali wa mabadiliko ya tabianchi.
Tafsiri
[hariri]- Kifaransa: crise du climat (fr)
- Kiingereza : climate crisis (en)
#EarthMonth #WikiForHumanRights #RightToahealthyEnvironment #WikiForHumanRightsAfrica #Earthday