Majadiliano ya mtumiaji:Josue Joe Makuta

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Weka mada
Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru
Latest comment: miezi 11 iliyopita by XR98 in topic Temporary Block

Aina zilizo hatarini kutoweka[hariri]

Ingizo uliloweka inaonekana kuwa kosa la kiprotologia na imefutwa. Ikiwa una uhakika kwamba ni neno halisi, tafadhali toa ushahidi wa neno hili kutumika katika vyombo vya habari vilivyohifadhiwa kwa muda mrefu (hasa vitabu vilivyochapishwa, na vikundi vya usenet) kama inavyotakiwa. Ili istilahi ijumuishwe, lazima itumike na angalau waandishi watatu tofauti kwa zaidi ya mwaka mmoja, na waandishi lazima wawe wanatumia neno hilo, sio tu kueleza maana yake au kusema kuwa lipo. XR98 ( - ) 17:36, 20 Mei 2023 (UTC)Reply

Naming files on new articles[hariri]

Jambo! Tunathamini sana michango yako kwa Wiki hii lakini ningekuomba utaje majina ya faili za media ipasavyo kwa Kiswahili. Mfano ni kama ukurusa wa mwani ambayo faili zote za picha zipo katika lugha ya Kilatini bila kuzingatia sarufi inavyofaa.

Wiki njema na karibu Wikamusi! XR98 ( - ) 17:35, 21 Mei 2023 (UTC)Reply

Writing captions on new articles[hariri]

Hello, as explained in the previous topic, please correctly caption images, otherwise the image will be removed in whole. Read through the policy on Media Wiki's page. -- XR98 ( - ) 07:19, 25 Mei 2023 (UTC)Reply

Temporary Block[hariri]

I have decided to block you for 72 hours due to repeated protologism and bad image caption naming. Entries must have sufficient evidence for their use otherwise they'll immediately be deleted. If you feel this is unjustified, please comment below this thread and ping me. -- XR98 ( - ) 08:06, 25 Mei 2023 (UTC)Reply