Majadiliano ya mtumiaji:Alex Kiboro
Weka madaMandhari
Latest comment: miaka 16 iliyopita by Muddyb Blast Producer
Karibu Ndugu Alex Kiboro katika Wikamusi hii ya Kiswahili! Tunamfurahia kila mmoja anaengia na kujiunga nasi. Ukiwa unaswali we uliza tu utajibiwa. Halafu samahani kidogo naomba nikuulize swali: Alex Kiboro ni kweli jina lako ama unaleta mzaha? Yaani Kiboro? Mhh, hapana. Inabidi ubadili jina la mwisho ili tuweze kuleta maana zaidi. Kumbuka hii kamusi ya Kiswahili, hivyo maelezo au majina yenye kuhashiria matusi huwa hayapendezi. Samahani lakini.--Muddyb Blast Producer 14:25, 4 Juni 2008 (UTC)