Mafuta ya Kisukuku
Mandhari
Kiswahili
[hariri]NOMINO
[hariri]Mafuta ya Kisukuku
- Nishati inayotokana na mabaki ya viumbe vya kale, kama vile makaa ya mawe, mafuta ya petroli, na gesi asilia inayochangia kwa kiasi kikubwa uzalishaji wa gesi za chafu.
Tafsiri
[hariri]- Kiingereza : fossil fuel (en)