Nenda kwa yaliyomo

Kizio cha joto cha Uingereza

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]

nomino

[hariri]

Kizio cha joto cha Uingereza

  1. kipimo cha joto kinachohitajika kuongeza joto la paundi moja ya maji kwa nyuzi moja fahrenheit.

tafsiri

[hariri]