Huzuni ya Mazingira
Mandhari
Kiswahili
[hariri]Nomino
[hariri]Huzuni ya Mazingira
- Hali ya huzuni au dhiki inayotokana na uharibifu wa mazingira ya nyumbani kutokana na mabadiliko ya tabia nchi au majanga mengine.
Tafsiri
[hariri]- Kiingereza : solastalgia (en)