Hewa songezi
Mandhari
Kiswahili
[hariri]Nomino
[hariri]Hewa songezi (hewa songezi)
- hewa ambayo ina joto jingi kuliko mazingira yake na hupanda juu angani na kutengeneza mawingu ya mvua.
Tafsiri
[hariri]- Kiingereza Unstable air (en)
Hewa songezi (hewa songezi)