Nenda kwa yaliyomo

Hausa

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Nomino

[hariri]

Hausa (wingi Wahausa)

  1. Kabila la watu wanaoishi katika maeneo mbalimbali ya Afrika Magharibi, hasa Nigeria na Niger.
    Mfano: Wahausa ni moja ya makabila makubwa zaidi katika Afrika Magharibi.
  2. Wanazungumza Kihausa.