Hali mbaya ya hewa
Kiswahili[hariri]

Nomino[hariri]
Hali mbaya ya hewa (hali mbaya ya hewa)
- Ni hali yoyote ile ya hewa ambayo husababisha maangamizi kwa mfano, dhoruba,mvua ya mawe, mvua ya radi, na miale ya radi ambayo inatishia maisha ya viumbe k.v wanyama na binadamu.
Tafsiri[hariri]
- Kiingereza Severe weather (en)