Nenda kwa yaliyomo

Gesi ya Joto Dunia

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]

Nomino

[hariri]

Gesi ya Joto Dunia

  1. Gesi zinazozalisha joto duniani kwa kuzuia mionzi ya jua kutoka kurudi angani, kama vile dioksidi ya kaboni (CO2), methane (CH4) na oksidi ya nitrojeni (N2O).

Tafsiri

[hariri]