Gesi mvugulio
Kiswahili[hariri]

Nomino[hariri]
Gesi mvugulio (gesi mvugulio)
- Aina za gesi kama vile,kabonidayoksaidi na metheni ambazo hujenga utandu ambao hufungia joto lisipite na kupanda juu angani.
Tafsiri[hariri]
- Kiingereza: Greenhouse gasses (en)