Nenda kwa yaliyomo

Dhamira

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]

Nomino

[hariri]
  1. dhamira* nm [i-/zi-] nia ya kufanya kitu au jambo; Dhamira yangu ni kuboresha makala za Wikipedia ya Kiswahili.

Tafsiri

[hariri]

Etimolojia

[hariri]
  • Neno dhamira linatokana na lugha ya Kiarabu.