Nenda kwa yaliyomo

Bibilia

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru
Biblia.

Nomino

sw|nomino kitabu chenye maandiko takatifu cha wakristo


Vitabu vya Biblia RV - Ragano Vyimpa. Zingatia lakini kwamba walio wengi, hasa Wakristo na Wamethodisti, katika Biblia wanavyoitumia wana vitabu vingine 6 vingine. Majina ya vitabu yameandikwa kufuatana na tafsiri ya Habari Njema. Kama kuna jina lingine limeongezeka katika mabano.


Vitabu vya kihistoria

Injili ya Mathayo
Injili ya Marko
Injili ya Luka
Injili ya Yohane
Matendo ya Mitume

Barua za Paulo

Barua kwa Waroma (Waraka kwa Warumi)
Barua ya Kwanza kwa Wakorintho
Barua ya Pili kwa Wakorintho
Barua kwa Wagalatia
Barua kwa Waefeso
Barua kwa Wafilipi
Barua kwa Wakolosai
Barua ya Kwanza kwa Wathesalonike
Barua ya Pili kwa Wathesalonike
Barua ya Kwanza kwa Timotheo
Barua ya Pili kwa Timotheo
Barua kwa Tito
Barua kwa Filemoni

Barua Nyingine

Barua kwa Waebrania
Barua ya Yakobo
Barua ya Kwanza ya Petro
Barua ya Pili ya Petro
Barua ya Kwanza ya Yohane
Barua ya Pili ya Yohane
Barua ya Tatu ya Yohane
Barua ya Yuda

Kitabu cha kinabii

Ufunuo (Ufunuo wa Yohane)


Vitabu vya Macala

Zaburi
Methali
Mhubiri
Kitabu cha WaflameI
Kitabu cha WaflameII
Fadtiha
Injili ya Maryiam
Kitabu cha Job