Bamvua kubwa
Mandhari
Kiswahili
[hariri]Nomino
[hariri]Bamvua kubwa (bamvua kubwa)
- hali ya kujaa kwa maji ya bahari ambayo huambatana na mwezi mchanga na mwezi mpevu.
Tafsiri
[hariri]- Kiingereza : spring tide (en)
Bamvua kubwa (bamvua kubwa)