Nenda kwa yaliyomo

Alhaji

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]

nomino

[hariri]

Alhaji pia Haji (kidini) cheo cha heshima apewacho Mwisilamu aliyekwenda Makka kufanya ibada ya kuhiji, na hutajwa kabla ya jina la mtu huyo