Alasiri

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

nomino[hariri]

Alasiri pia Laasiri (kidini) sala inayosaliwa na waisilamu, aghalabu baina ya saa tisa na nusu au kumi na magharibi