Mzunguko wa chakula

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

Mzunguko wa chakula

Kitenzi[hariri]

Ni namna mwili wa binadamu na mamalia wengine unavyofanya kazi ya kuingiza chakula mwilini, kukisagasaga, kukisafirisha ndani ya mwili, kukimeng'enya, na kutoa mabaki nje ya mwili.

Tafsiri[hariri]