Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:majaliwa

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Weka mada
Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Majaliwa huweza kutumiwa badala ya Mungu akitaka. Kwa mfano mtu anapotaka kuongea kuhusu mambo yajayo, anaweza kutumia Majaliwa au Mungu akitaka.