mtahiniwa

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

Nomino[hariri]

mtahiniwa (wingi watahiniwa)

  1. mtu anayepimwa uwezo wa kujibu maswali ya mtihani

Tafsiri[hariri]

  • Kiingereza: examinee (en) Ni mtu anayetarajiwa kufanya mitihani