mdaa

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

Nomino[hariri]

mdaa (wingi midaa)

  1. mmea ambao mizizi yake hutumika kama mswaki na pia hutumiwa kutoa rangi ya kutia kwenye nguo

Visawe[hariri]

Tafsiri[hariri]