mabadiliko ya tabia nchi

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru
picha kuhusu mabadiliko ya tabia nchi

Nomino[hariri]

mabadiliko ya tabia nchi

Pronunciation[hariri]

  1. Ufafanuzi kuhusu mabadiliko ya tabia ya nchi na athari za miali ya jua duniani

Tabia ya nchi ni mwenendo wa hali ya hewa yakiwemo majira, wastani na vizio vya juu na chini kabisa vya joto, utokeaji na mtawanyiko wa mawingu, mvua na theluji, majanga yanayosababishwa na hali ya hewa kama vile upepo mkali na kuanguka kwa theluji, na vimbunga vikali vya nchi kavu na baharini. Tabia ya nchi duniani inabadilika kwa sababu ya kile kinachojulikana kama ‘athari zilizoongezwa nguvu za miali ya jua’.

Tafsiri[hariri]