Nenda kwa yaliyomo

koplo

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili

[hariri]

Nomino

[hariri]

koplo (wingi makoplo)

  1. cheo cha afisa wa jeshi au polisi aliye chini ya sajini