kayamba

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Kiswahili [hariri]

Nomino [hariri]

kayamba (wingi makayamba)

  1. toazi zilizo na punje ndani na zimetengenezwa na matete na zinatoa sauti ya kimziki punde zikitikiswa

Tafsiri [hariri]