Ukaguzi wa mazingira

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

Nomino[hariri]

Ukaguzi wa mazingira

  1. (Mazingira) Tathmini ya utendaji na ufanisi wa mfumo wa usimamizi uliowekwa ili kuhakikisha ulinzi wa mazingira