Tabakatropo

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

Tabakatropo chini ya Kilomita 15

Nomino[hariri]

Ni anga la kwanza la chini lenye mchanganyiko wa hewa na kuwezesha asilimia kubwa maisha ya viumbe hai.

Tafsiri[hariri]