Kivinjari

Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru

Kiswahili[hariri]

kivinjari

Nomino[hariri]

Kivinjari (vivinjari)

  1. ni programu inayotumika kufikia na kusogeza mtandaoni,kuwezesha kurasa za wavuti na kuwezesha muingiliano

Tafsiri[hariri]

[[Jamii:Maneno ya Kiswahili}}